Saturday , March 23 2019

Home / TV (page 4)

TV

FullshangweBlog TV

VIDEO:ARSENAL PUNGUFU YAITANDIKA BURNEL LIGI KUU YA ENGLAND

SAZ

Magoli mawili ya Shkodran Mustafi na Alexis Sanchez yameifanya Arsenal ichupe hadi nafasi ya pili ya Msimamo wa Ligi Kuu ya England baada ya kufikisha jumla ya pointi 47 mchezo uliochezwa katika uwanja wa Emirates. Kipindi cha kwanza kilikuwa kigumu kwa kila timu hadi mapumziko zilikwenda zikiwa nguvu sawa baada …

Read More »

MZUNGUKO WA TANO WA AZAM SPORTS FEDERATION CUP ‘FA’

asfclounge

Raundi ya tano ya mechi za kuwania Kombe la Shirikisho la Azam 2016/17 (Azam Sports Federation Cup – ASFC), utaanza Jamamosi Januari 21, 2017 kwa timu za Majimaji na Mighty Elephant za Songea kucheza kwenye Uwanja Majimaji mjini Songea. Ratiba ya ASFC inaonesha kwamba timu za Alliance na Mbao za …

Read More »

VIDEO:RC Rukwa asema Mkoa hauna njaa.

UNA 1

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Kamishna Mstaafu Zelote Stephen amesema kuwa Mkoa hauna njaa baada ya kufanya ziara katika maghala mbalimbali ya wajasiriamali pamoja na kiwanda cha Unga cha Energy Mills vyote vilivyopo katika mji wa Sumbawanga. “Mmejionea wenyewe, Katika Manispaa ya Sumbawanga suala la kwamba hakuna chakula ama kuna …

Read More »

VIDEO:NAIBU WAZIRI ANGELLINA MABULA ” IUNDWE KAMATI YA UCHUNGUZI JUU YA UPIMAJI WA VIWANJA KATIKA HALMASHURI MPYA YA PERAMIHO”

nOP

Naibu Waziri wa ardhi, nyumba na maendeleo ya makazi, DOKTA. ANGELLINA MABULA , ameagiza kuundwa kwa kamati ya uchunguzi wa viwanja vinavyopimwa katika halmashauri mpya ya peramiho, iliyopo wilaya ya songea mkoani mkoani Ruvuma, baada ya kuonekana kuwepo na ujanjaujanja katika upimaji huo ikiwemo kufanya uchunguzi wa utunzaji wa kumbukumbu …

Read More »

VIDEO:WAZIRI MKUU “NITASHUGHULIKIA MLIPWE FEDHA HARAKA ILI MTAMBO WA KUPOOZEA UMEME WA GRIDI YA TAIFA KUTOKA MAKAMBAKO MKOANI NJOMBE KWENDA SONGEA UKAMILIKE KWA WAKATI

son

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, KASSIM MAJALIWA katika ziara yake ya Siku ya Pili mkoani Ruvuma ametembelea na kukagua eneo litakalojengwa mtambo wa kupoozea umeme wa Gridi ya Taifa kutoka Makambako mkoani Njombe kwenda Songea mkoani Ruvuma . Habari kamili hii hapa video yake.Ruvuma Tv  

Read More »

Wakazi – Panga (Panda Freestyle) #Video

wakazi

This is a freestyle over Desiigner’s Panda beat, and also a lead song off Mtikila Mixtape that dropped late 2016. Mtikila is a instant classic mixtape with street favorite records such as “Bakora”, “Crook” and “Kanda Maalum” which features Nikki Mbishi. This is Wakazi’s 6th mixtape and it is building …

Read More »

VIDEO: MADHARA YA KUTAMANI WASICHANA USIYO WAJUA

wd

Katika Karne ya sasa vijana wengi wamekuwa na tabia ya kutafuta uhodari  wa nani zaidi kwenye tasnia ya mapenzi,  hivyo wakati kijana anapo jikita kwenye mapenzi kama unavyo jua mapenzi yalivyo na nguvu,  anashindwa kuvumilia na kujiwekea misimamo yaani kutulia na msichana ambaye tayari kamfanyia uchunguza wenye kina. Tamaa! ni …

Read More »

VIDEO:OLE WAKE ATAKAYEENDELEA NA KAZI YA UNGARIBA-SIHABA NKINGA

pd-9

Mkurugenzi wa Kituo cha Kulea Watoto waliokimbia Kukeketwa cha (ATFGM-Massanga) Sister Stella Mgayaakimuonesha Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto (Idara kuu ya Maendeleo ya Jamii) Bi. Sihaba Nkinga kifaa cha musiki kilichotwngwnwzwa na mangariba wastaafu. …………….. NA HASSAN SILAYO-MAELEZO Katibu Mkuu Wizara ya Afya …

Read More »