Thursday , December 13 2018

Home / Uncategorized

Uncategorized

WAZIRI JAFO AWAPONGEZA TARURA

2

Waziri Jafo akikagua daraja la Mto Tete wilayani Kisarawe Waziri Jafo akiongea na wananchi wa Vikumburu wakati wa zoezi la ukaguzi wa Barabara Viongozi wakikagua kipande cha barabara katika kijiji cha Korea wilayani Kisarawe ……………………. Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI selemani Jafo amewapongeza watendaji Wakala wa Barabara Vijijini …

Read More »

WAKAZI WA MKOMBOZI KATA YA PANGANI WAISHUKURU JWTZ KUWAONDOLEA KERO YA KUTUMIA KIVUKO CHA MITI HALI ILIYOKUWA IKISABABISHA HOFU KWAO

IMG-20181211-WA0022

NA MWAMVUA MWINYI, KIBAHA   WANANCHI wa mtaa wa Mkombozi kata ya Pangani wilayani Kibaha, mkoani Pwani wanatarajia kuondokana na kero kubwa ya kutumia vivuko vya miti baada ya Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) kuwapatia daraja la uhakika litakalowaunganisha na wilaya ya Ubungo kwenye mto Mpiji.   Katika kipindi cha …

Read More »

SERIKALI HAITOMVUMILIA KIONGOZI ATAKAYEKIUKA MAADILI-MAJALIWA

PMO_01858

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema Serikali ya Awamu ya Tano itaendelea kuenzi misingi ya utawala bora haitamvumilia kiongozi yeyote wa umma atakayekiuka misingi hiyo na kutanguliza maslahi binafsi badala ya maslahi ya umma katika utendaji wake. Amesema mgongano wa maslahi umechangia rasilimali za nchi kunufaisha watu wachache huku wananchi wengi kuendelea …

Read More »

KUANDIKWA AMUAGIZA MTENDAJI MKUU WA TBA KUWASILIANA NA WIZARA YA NISHATI KUHARAKISHA UPATIKANAJI WA MIL. 800 KUKAMILISHA MAKAZI KATIKA MRADI WA STIGLERS GORGE

IMG-20181208-WA0023

NA MWAMVUA MWINYI, RUFIJI  NAIBU Waziri wa Ujenzi ,Elias Kuandikwa amemuagiza mtendaji mkuu wa Wakala wa Majengo Nchini (TBA) awasiliane na wizara ya nishati ,kuharakisha upatikanaji wa sh.milioni 800 ili kumalizia ukarabati wa nyumba za makazi 34 zinazojengwa katika ujenzi wa mradi wa uzalishaji umeme wa stiglers gorge Rufiji mkoani …

Read More »

NYASA MATATANI FEDHA ZA UJENZI WA VITUO VYA AFYA

3-min

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe.Selemani Jafo(juu pichani) akizungumza na Wakuu wa Mikoa pamoja na Makatibu Tawala Mikoa(wanaonekana baadhi) wakati wa kufunga mafunzo ya Uongozi yaliyofanyika kwa siku Tano Jijini Dodoma. Naibu Katibu Mkuu Afya tika Ofisi ya Rais TAMISEMI Bi.Zainabu Chaula …

Read More »

WAZEE WAMPA USHAURI MZITO SHEIKH WA MKOA

1

Sheikh Rajab Charahani mmoja wa wazee maarufu wa Dini ya Kiislamu jijini Mwanza akitoa nasaha kwa uongozi wa BAKWATA mkoani humu (hawapo pichani) baada ya kukutana kwenye kikao cha ushauri kilichofanyika jana katika Ukumbi wa Salum Ferej wilayani Nyamagana. Picha na Baltazar Mashaka Kaimu Sheikh wa Mkoa wa Mwanza Alhaji …

Read More »

RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BW. APSON MWANG’ONDA MKURUGENZI MKUU MSTAAFU WA USALAMA WA TAIFA .IKULU JIJIN DAR ES SALAAM

1

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Bw. Apson Mwang’onda Mkurugenzi Mkuu Mstaafu wa Idara ya Usalama wa Taifa, alipomtembela Ikulu jijini Dar es Salaam.Disemba 6, 2018. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Bw. …

Read More »

WANANCHI WAOMBWA KUTOA TAARIFA TAKUKURU

TAKUKURU-PCCB

Na Mwandishi wetu Wananchi wameombwa kutoa taarifa mapema kwa taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kwa miradi ya maendeleo wanaoitilia shaka kugubikwa na ufisadi ili kuokoa matumizi mabaya ya fedha za umma. Akizungumza wakati wa kongamano la kujadili utatuzi wa changamoto ya maji, kuanzia ufuatiliaji wa rasilimali fedha …

Read More »

RAIS DKT. MAGUFULI AMJULIA HALI RAIS MSTAAFU WA AWAMU YA PILI ALHAJI ALI HASSAN MWINYI ANAYEPATIWA MATIBABU JIJINI DAR ES SALAAM

1a

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Rais Mstaafu wa awamu ya pili Mhe.Ali Hassan Mwinyi alipomtembelea kumjulia hali  Jijini Dar es Salaam.Disemba 5,2018 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakiomba Dua Maalumu na Rais Mstaafu wa awamu ya …

Read More »

SERIKALI KUANZISHA MAMLAKA YA VIWANJA VYA NDEGE KISHERIA, WAZIRI KUPELEKA SHERIA BUNGENI BAADA YA MIEZI MIWILI IJAYO

3-min

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Isack Kamwelwe akizungumza na wadau (hawapo pichani) wakati alipokuwa akifungua rasmi Mkutano wa 22 wa Baraza Kuu la Wafanyakazi lililofanyika katika Ukumbi wa LAPF, Dodoma mapema leo. Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri (MAB) ya  Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Mhandisi Prof.  Ninatubu Lema …

Read More »

POLISI YAONYA WIZI MAFUTA UJENZI RELI YA KISASA

1 (1)-min

Na Jeshi la Polisi. Jeshi la Polisi nchini limetangaza kuanza kwa Operesheni kali ya kuwabaini na kuwasaka watu wote wanaojihusisha na wizi wa mafuta katika mradi wa  ujenzi wa reli ya kisasa (SGR)unaoendelea kutoka Dar es Salaam kwenda Morogoro. Hayo yamesemwa na Mkuu wa Operesheni Maalum za Polisi, Naibu Kamishna …

Read More »