Monday , September 24 2018

Home / Uncategorized (page 2)

Uncategorized

MAOFISA UGANI WAAMBIWA WATOKE MAOFISI WAENDE KWA WAKULIMA

MAGANGA

NA TIGANYA VINCENT TABORA 14 August 2018 MAOFISA Ugani na wale wa Mifugo wametakiwa kwenda kwa wakulima na wafugaji ili waweze kuwafundisha matumizi ya  mbinu za kisasa ambazo zitaboresha kilimo na ufugaji wa mifugo yao kwa ajili kujipatia kipato kitakachowasaidia kujiendeleza wenyewe na Taifa kwa ujumla. Kauli hiyo imetolewa na Mkuu …

Read More »

MKURUGENZI MTENDAJI CRDB BANK, DK. KIMEI ATEMBELEA OFISI ZA MKOA ZA SIDO JIJINI DAR ES SALAAM, AZUNGUMZA NA WANASEMINA WAJASIRIAMALI

kimei

  Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB Bank, Dk. Charles Kimei (kushoto), akiwa pamoja na mwenyeji wake, Meneja wa Sido Mkoa wa Dar es Salaam, MacDonald Maganga, wakiwasili katika ukumbi wa semina ya wajasiriamali wa Sido, walipofika kwa ajili ya kuzungumza nao, mwishoni mwa wiki Vingunguti jijini Dar es Salaam.    Wanasemina wajasiriamali …

Read More »

NAMUNGO FC KUPAMBANA NA SIMBA YA JIJINI DSM

PMO_8443

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na wachezaji wa Namungo FC, alipowatembelea kambini kwao Wilayani Ruangwa, Agosti 10.2018 (Picha na Ofisi ya Naziri Mkuu). Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akionesha jezi ya Namungo FC, baada ya kupokea jezi hizo zilizotolewa na wafadhili wa timu hiyo, Haojue Company Limited Wilayani Ruangwa, Agosti 10.2018 …

Read More »

Uhusiano wa Tanzania na Uganda ni mzuri sana” Rais Magufuli

5 (1)

Na. Immaculate Makilika- MAELEZO  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.  John Pombe Magufuli   amempongeza  na kumshukuru Rais wa Uganda, Yoweri Museveni   kwa kuwa miongoni mwa  viongozi wanaoendeleza fikra  za  Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, ikiwa ni kielelezo cha  kuendeleza uhusiano mzuri ulipo baina ya nchi mbili za …

Read More »

TRA yaelimisha wadau wa sekta ya kilimo Maonesho ya Nane Nane

????????????????????????????????????

Na Mariam Mwayela- Nyakabindi-Simiyu Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), imeendelea kutoa elimu kuhusu masuala ya kodi katika sekta ya kilimo kwa wananchi wa Mkoa wa Simiyu na vitongoji vyake pamoja na Mikoa ya Arusha, Mwanza, Morogoro, Mbeya, Tabora na Lindi ambao wanatembelea banda la Mamlaka ya Mapato Tanzania katika Maonesho …

Read More »

RAIS MAGUFULI ANAYAFANYA YOTE KWA NIABA YETU WATANZANIA

MAGUFULI

      Na Emmanuel J. Shilatu   Watanzania tuna kila sababu ya kutembea kifua mbele kwani Mwenyezi Mungu ametupenda zaidi kwa kutupatia Rais John Magufuli ambaye ukitazama matendo, kauli na maisha yake yanaonyesha amejitoa kwa ajili ya Watanzania. Dkt. Magufuli ni Rais wa kipekee ambaye amekataa kabisa kupanda ndege …

Read More »

CDE LUBINGA AENDELEA NA ZIARA YA KAMPENI MTWARA VIJIJINI

IMG-20180806-WA0053

Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, CDE Ngemela Lubinga ameendelea na ziara yake ya kampeni katika wilaya ya Mtwara vijijini katika kata za Nanguruwe na Malingu. Katika ziara yake hiyo ya kampeni cde Lubinga ameendelea kuwashukuru wananchi kwa kuweza kumchagua  Dkt John Pombe Magufuli kuwa Rais wa Jamhuri …

Read More »

WAZIRI LUGOLA ATOA ONYO KALI KWA MAKAMPUNI BINAFSI YA ULINZI, ASEMA YANAAJIRI VIKONGWE, ATOA MWEZI MMOJA KUJIREKEBISHA KABLA YA WIZARA YAKE HAIJAANZA UHAKIKI

PIX 1 (2)

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola akizungumza na wananchi wa Mji wa Bunda, mkoani Mara katika Mkutano wa hadhara uliofanyika eneo la Stendi ya zamani mjini humo. Waziri Lugalo aliyatuhumu baadhi ya makampuni binafsi ya ulinzi nchini kwa kuajiri wazee wasiojiweza (vikongwe) ili walinde katika ofisi mbalimbali, …

Read More »

MKUU WA WILAYA YA KISARAWE, JOKATE MWEGELO AAPISHWA

jokate 1

Mkuu mpya wa wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwegelo ameapishwa leo huku akipewa onyo kuepuka wapotoshaji. Pamoja na Jokate, Zainab Kawawa naye ameapishwa kuwa mkuu wa wilaya ya Bagamoyo. Jokate, ambaye aliwahi kuwa mlimbwende wa mashindano ya Miss Tanzania mwaka 2006, aliteuliwa kuwa mkuu wa wilaya ya Kisarawe, Julai 28 mwaka …

Read More »

WASTARA AMSHUKURU RAIS DK. MAGUFULI

PIX 1 (A)

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt.Harrison Mwakyembe (kushoto) akizungumza na Msanii wa Filamu nchini Bi.Wastara Juma (kulia) alipofika ofisini kwake leo jijini Dodoma  kwa ajili ya kumshukuru Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli na  Serikali kwa ujumla kwa michango waliyotoa kufanikisha matibabu yake …

Read More »

JOKATE NA KAWAWA KUAPISHWA KESHO PWANI -NDIKILO

IMG_20180802_140309

NA MWAMVUA MWINYI,PWANI MKUU wa mkoa wa Pwani ,mhandisi Evarist Ndikilo August 3(ijumaa) mwaka huu ,anatarajia kuwaapisha viongozi wateule Jokate Mwegelo na Zainab Kawawa . Akizungumzia juu ya hafla hiyo fupi ,Ndikilo alisema inatarajiwa kufanyika asubuhi katika viwanja vya ofisi ya mkuu wa mkoa huyo . Alisema viongozi hao bado …

Read More »