Thursday , November 23 2017

Blog Layout

SERIKALI YA BURUNDI YANUIA KUWAREJESHA WANANCHI WAKE WALIOKIMBILIA TANZANIA

index

Serikali ya Jamhuri ya Burundi imesema ipo tayari kutoa ushirikiano wa hali na mali katika kuhakikisha zoezi la urejeshwaji wa wakimbizi waliopo nchini Tanzania wanarejea nchini Burundi kwa haraka ili wakaijenge nchi yao. Haya yamezungumza na Waziri wa mambo ya Ndani na Mafunzo ya Uzalendo kutoka Jamhuri ya Burundi Mhe. …

Read More »

Kuondolewa VAT Kwenye Vifaa Vya Ujenzi Kutapunguza Mapato ya Serikali

1421-Kijaji

Na Beatrice Lyimo-MAELEZO, DODOMA Serikali imesema kuondolewa kwa kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) kwenye vifaa vya ujenzi kwa lengo la kupunguza gharama za ujenzi wa nyumba za makazi kutawanufaisha wafanyabiashara wachache kuliko wananchi wa kawaida na kupunguza  mapato ya Serikali. Hayo yamesemwa Bungeni leo Mjini Dodoma na Naibu Waziri …

Read More »

SERIKALI YATOA MAFUNZO KWA VIJANA ZAIDI YA 11,000

PMO_8594

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imeweza kutoa mafunzo kwa vijana 11,492 katika fani mbalimbali kupitia vyuo vya umma, binafsi na makampuniikiwa ni utekelezaji wa Programu ya Taifa ya Miaka Mitano ya Kukuza Ujuzi. Amesema programu hiyo ambayo ilianza kutekelezwa katika mwaka wa fedha 2016/17, inalenga kuweka maeneo mahususi ya kuwezesha vijana …

Read More »

SERIKALI YAKARABATI VYUO 10 KWA SH. BILIONI 12

PMO_8594

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imetumia sh. bilioni 11.9 kufanya ukarabati wa miundombinu ya kufundishia na kujifunzia pamoja na mabweni katika vyuo 10 vya ualimu nchini. Amevitaja vyuo hivyo kuwa ni Morogoro, Mpwapwa, Butimba, Kasulu, Songea, Tukuyu, Marangu, Kleruu, Korogwe na Tabora. “Ukarabati huu umewezesha wanachuo 5,920 waliokuwa wanasoma …

Read More »

DODOMA, SINGIDA KUTUMIA KILIMO CHA UMWAGILIAJI IFIKAPO 2019

TFC10

Kiongozi wa msafara wa wawakilishi wa kampuni ya Henan Juren Crane Group kutoka Jimbo la Henan nchini China, Wang Yuheng (wa pili kulia) akisisitiza jambo wakati alipokutana na Mkurugenzi wa Maendeleo ya Ushirika wa Shirikisho la Vyama vya Ushirika Tanzania (TFC), Bw. Henry Mwatwinza Mwimbe (kulia). Tukio hili lilifanyika jana, …

Read More »

TFC YAANZA KUKUSANYA TAARIFA ZA WANACHAMA WAKE WA USHIRIKA KUBORESHA KANZIDATA

TFC16

Kaimu Mkurugenzi wa Maendeleo ya Ushirika wa TFC, Bw. Henry Mwantwinza Mwimbe. Na Daniel Mbega SHIRIKISHO la Vyama  vya Ushirika Tanzania (TFC) limeanza zoezi la kukusanya taarifa na kuhakiki wanachama ili kuimrisha kanzidata yake. Akizungumza na MaendeleoVijijini, Kaimu Mkurugenzi wa Maendeleo ya Ushirika wa TFC, Bw. Henry Mwantwinza Mwimbe, amesema …

Read More »

Ecobank Face To Face With Members Of Parliament In Dodoma

New Picture

Ecobank Tanzania’s Managing Director, Ms. Mwanahiba Mzee (far right) and the bank’s Head of Commercial Banking, Mr. Respige Kimati (left) in a souvenir photo with the Prime Minister, Honorable Majaliwa Kassim Majaliwa when they paid a courtesy call at his office in Dodoma Ecobank Tanzania’s Managing Director, Ms. Mwanahiba Mzee …

Read More »

RAIS DKT MAGUFULI ATOA MSAADA KWA MSIKITI WA NOOR KIJIJINI MKANGE, MIONO, WILAYA YA CHALINZE MKOA WA PWANI LEO

IMGT0029

Msaidizi wa Rais Kanali Msafiri Mkeremy akimkabidhi Imamu wa Msikiti wa Noor kijijini Mkange, Miono, Wilaya ya Chalinze mkoa wa Pwani Sheikh Khamis Nassor wakati alipowasilisha msaada wa zulia la kuswalia msikitini hapo akiwa kaongozana na Naibu Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu, Bw. Jaffary Haniu (nyuma ya Imamu) leo Novemba 17, …

Read More »