Tuesday , January 22 2019

Recent Posts

Blog Layout

Mtaalamu wa viwanda asema Tanzania ya viwanda inawezekana

tbl1

Mkurugenzi wa Ufundi wa TBL Group,Gavin Van Wijk, akieleza mafanikio ya kampuni katika mkutano na waandishi wa habari  Mkurugenzi wa Ufundi wa TBL Group,Gavin Van Wijk (wa kwanza kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Maofisa Waandamizi wa kampuni hiyo …………………………………………………………………….. -Asema TBL Group tayari imeanza kuonyesha mfano  Mkurugenzi wa ufundi wa TBL …

Read More »

9 of 2,315 TRA WAIBUKA VINARA WA UTOAJI TAARIFA KWA UMMA MWAKA 2016

1

Balozi wa Umoja wa Ulaya nchini Tanzania,Bw. Roeland Van De Geer akizungumza na wadau wa habari kwenye maadhimisho Siku ya Kimataifa ya Haki za Kupata Taarifa Septemba 28 KATIKA ukumbi wa Hoteli ya Sea Shells iliyopo jijini Dar es Salaam. ……………………………………………….. Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wameibuka washindi wa TUZO …

Read More »

TAARIFA KWA UMMA TAREHE YA MWISHO YA UFUNGAJI WA MASHINE ZA KIELEKTRONIKI (EFPP) KWENYE VITUO VYA KUUZA MAFUTA NCHINI

new-picture-2

Kufuatia changamoto zilizojitokeza katika zoezi la ufungaji wa mashine za kielektroniki zinazojulikana kama “Electronic Fuel Pump Printer” (EFPP) kwenye Vituo vya kuuza mafuta ya Petroli, Dizeli na mafuta ya taa na kufuatia agizo la Serikali kuwa wamiliki wa vituo vyote wawe wamefunga mashine hizo ifikapo tarehe 30 Septemba 2016, Wizara …

Read More »

RAIS DKT. MAGUFULI APOKEA HATI YA UTAMBULISHO KUTOKA KWA BALOZI WA UINGEREZA HAPA NCHINI SARAH CATHERINE COOKE IKULU

ui1

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akipokea Hati ya Utambulisho kutoka kwa Balozi mteule wa Uingereza hapa nchini Sarah Catherine Cooke Ikulu jijini Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimshukuru Balozi mteule wa Uingereza hapa nchini Sarah Catherine …

Read More »

(TFS) WASAINI MKATABA WA KUUZIANA MALIGHAFI YA MITI AINA YA MISINDANO NA MIKARATUSI NA KIWANDA CHA KARATASI CHA MUFINDI (MPM)

waka3

Kaimu Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania ( TFS) Prof. Dos Santos (kulia)  na Mkurugenzi wa Kiwanda cha Karatasi cha Mufindi ( MPM) Jaswart Singhrai  wakisaini mkataba wa kuuziana Malighafi  ya miti aina ya Misindano na  Mikaratusi baina ya Wakala huyo na  kiwanda  hicho yaliyofanyika jana jijini  …

Read More »

Prof. Ndalichako aitaka Bodi mpya ya TCU kushughulikia matatizo Vyuo Vikuu

index

Na. Lilian Lundo – MAELEZO   Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Prof. Joyce Ndalichako ameitaka Bodi mpya ya Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) aliyoizindua leo jijini Dar es Salaam, kushughulikia kikamilifu changamoto zilizoko katika Tume hiyo. Prof. Ndalichako ameiambia bodi hiyo kuwa amekuwa akipokea malalamiko kutoka kwa …

Read More »

DFID YASAIDIA UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI IHUNGO

ihu

Na: Frank Shija, MAELEZO. MSAADA wa Shilingi bilioni 6.3 umetolewa na Serikali ya Uingereza kupitia Idara yake ya  Maendeleo ya Kimataifa (DFID) ili kufanikisha ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Ihungo iliyo haribika baada ya kuathiriwa na tetemeko la Ardhi lililotokea tarehe 10 Septemba mkoani Kagera. Hayo yabainishwa na Waziri …

Read More »

MAKAMU WA RAIS MHE. SAMIA AKUTANA NA UJUMBE KUTOKA KAMPUNI YA CHINA ELECTRONICS CORPORATION

2

 Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan leo amekutana na kufanya mazungumzo na ujumbe kutoka kampuni ya China Electronics Corporation ya kutoka nchini China, Ikulu jijini Dar es Salaam  Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na ujumbe kutoka kampuni ya China Electronics Corporation ya …

Read More »

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi kuwa mgeni rasmi Mkutano wa Jumuiya ya Waislamu wa Ahmadiyya.

index

NA Beatrice Lyimo-MAELEZO Dar es Salaam WAZIRI wa Mambo ya ndani ya nchi Mwigulu Nchemba anatarajia kuwa mgeni rasmi katika Mkutano Mkuu wa Mwaka wa 47 wa Jumuiya ya Waislamu wa Ahmadiyya utakaofanyika kuanzia Septemba 30 hadi   Octoba 2 mwaka huu. Akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa Jumuiya hiyo Sheikh …

Read More »

CCM WILAYA YA ARUSHA WAMPONGEZA MAGUFULI KWA KURUDISHA NIDHAMU KWA WATUMISHI

images

Na Mahmoud Ahmad Arusha CHAMA cha Mapinduzi, CCM, wilaya ya Arusha, kimempongeza  Rais Dakta John Magufuli, kwa  kazi anzozifanya tokea achaguliwe kushika wadhifa huo Oktoba 2015 na kuonyesha dhamira yake ya kweli ya kuwatumikia wananchi bila ya ubaguzi, upendeleo katika kuharakisha maendeleo ya taifa.  Tamko la kamati ya siasa ya …

Read More »

MICHEZO YA WATUMISHI WA SERIKALI (SHIMIWI) – 2016 KUFANYIKA MKOANI DODOMA

mo

Michezo inayowakutanisha watumishi wa Serikali kutoka katika Wizara, Idara Zinazojitegemea, Wakala wa Serikali na Ofisi za Wakuu wa Mikoa (SHIMIWI) itafanyika Mjini Dodoma kuanzia tarehe 14 – 27 Oktoba, 2016 katika viwanja vya Jamhuri, Chuo Kikuu Huria, Don Bosco, Chuo kikuu cha St.Jones, Magereza na Shule za Sekondari za Jamhuri, …

Read More »

RAIS DKT MAGUFULI AZINDUA RASMI NDEGE MBILI MPYA ZILIZONUNULIWA NA SERIKALI KWA AJILI YA ATCL

bmb8

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa na maafisa na viongozi wengine mbalimbali akikata utepe kuzindua rasmi ndege mbili mpya aina ya Bombadier Q400 zilizonunuliwa na serikali kwa ajili ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Dar es …

Read More »

MAJALIWA ATOA MWEZI MMOJA KWA WATUMISHI KIBITI KUHAMIA MAKAO MAKUU YA WILAYA

kibt2

Na Mwamvua Mwinyi, Kibiti WAZIRI mkuu, Kassim Majaliwa ametoa mwezi mmoja kwa watumishi wote waliopangiwa kufanya kazi wilaya na halmashauri mpya ya Kibiti, kukaa ndani ya makao makuu ya badala ya kukaa mbali na eneo la kazi. Aidha amesema wilaya hiyo ni mpya haina fedha hivyo waingie mikataba na taasisi …

Read More »