Saturday , March 23 2019

Recent Posts

Blog Layout

Tanzania na Uswisi zasaini Mkataba wa Makubaliano kuhusu ushirikiano wa kisheria kwenye masuala ya Jinai

mahi1

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Augustine Mahiga (Mb.) kwa pamoja na Mhe. Florence Tinguely Mattli, Balozi wa Uswisi hapa nchini wakisaini Mkataba wa Makubaliano kati ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Uswisi kuhusu Ushirikiano wa Kisheria kwenye masuala ya Jinai. Mkataba huu utasaidia …

Read More »

PWC TROPHY KUTUMIKA KUPIMA NA KUCHUJA WACHEZAJI WA TIMU YA TAIFA

mndolwa-2

Na Luteni Selemani Semunyu JWTZ Mashindano ya mchezo wa Golf ya  PWC Trophy yanayotarajiwa kufanyika kesho Jumamopsi Oktoba 22 katika uwanja wa Golf wa Lugalo yanatarajiwa kutumika kuchuja Wachezaji wa Timu ya Taifa ya golf wanaotarajia kushiriki  mashindano ya East Afrika Challenge nchini Ethiopia. Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Klabu …

Read More »

Jenerali Davis Mwamunyange akutana na mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Lesotho Luteni Jenerali Tlali Kamoli

davi1

 Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Jenerali Davis Mwamunyange (Kulia) akimkabidhi nembo ya JWTZ Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Lesotho Luteni Jenerali Tlali Kamoli, alipotembelea Makao Makuu ya Jeshi Upanga Jijini Dar es Salaam, leo tarehe 21 Oktoba 16, kwa ziara ya kikazi ya kuimarisha uhusiano wa majeshi ya nchi …

Read More »

WASANII MOROGORO WATAKIWA KUWA MABALOZI WAZURI WA MAADILI KWA TAIFA

mor2

Kaimu Mkurugenzi wa  Manispaa ya Morogoro Bw.Michael Joseph(Katikati) akiongea na wasanii wa filamu(hawapo katika picha) wakati wa ufunguzi wa mafunzo maalum ya kuwajengea uwezo wa kuandaa filamu bora  leo Mjini Morogoro, kushoto ni Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania Bibi.Joyce Fisoo na kulia ni Afisa Utamaduni wa Manispaa ya Morogoro Bw.Stephene …

Read More »

Profesa Semboja: Wadau wa Habari toeni maoni yenu ili mboreshe Muswada wa Habari.

index

Na Daudi Manongi,MAELEZO. Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Profesa Haji Semboja amewataka wamiliki na wadau wa tasnia ya habari hapa nchini kuusoma na kuelewa madhumuni ya Muswada wa Huduma za Habari kwa ajili kusaidia maoni ambayo yataboresha muswada huo. Profesa Semboja asema hayo leo jijini Dar es …

Read More »

Toa maoni, boresha Muswaada wa Sheria ya Huduma za Habari.

musu2

Na Mwandishi wetu. Mwanadamu katika maumbile yake amejengeka katika falsafa ya kufafuta ukweli na kuupambanua na taarifa zinazokinzana na ukweli wa wenyewe wa jambo fulani.   Katika kutafuta ukweli, wapo watakaoamini, wapo ambao watakuwa hawaamini na wapo ambao hawapo kwenye kuamini wala kutokuamini.   Hivi karibuni mwezi Septemba mwaka huu, …

Read More »

JAJI KIONGOZI AWATAKA MAJAJI KUTENDA HAKI

mkun3

Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Mheshimiwa Ferdinand Wambali akifungua Mkutano wa Majaji Wafawidhi na Majaji waliosikiliza Kesi za Uchaguzi wa mwaka 2015 unaofanyika jijnini Arusha. Baadhi ya Waheshimiwa Majaji Wafawidhi wa Mahakama Kuu ya Tanzania wakiwa kwenye Mkutano wa Kutathmini usikilizwaji wa kesi za uchaguzi unaofanyika jijini Arusha. …

Read More »

NHC LAFANYA UHAKIKI WA VIKUNDI VYA VIJANA KATIKA MIKOA YA MWANZA, GEITA NA MARA

nc17

Jengo la ofisi linalojengwa na vijana wa kikundi cha Sarorya ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa mradi wa vijana wa kutengeneza matofali ya kufungamana kupitia mashine zilizotolewa na NHC kama msaada kwa vijana. Wa Pili Kulia ni Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Huduma kwa Jamii, Susan Omari ambaye aliongoza …

Read More »

VUAI: ATOA MAAGIZO MAZITO KWA KAMATI YA SIASA MKOA WA KASKZN UNGUJA.

0o

 Na Is-haka Omar, Zanzibar. WAJUMBE wa Kamati ya Siasa ya Mkoa wa Kaskazini Unguja Kichama wametakiwa kutumia vikao halali kama inavyoelekezwa na Katiba na Kanuni za Chama kwa kuwahoji na kuwachukulia hatua mwafaka baadhi ya viongozi na wanachama wanaokwenda kinyume na misingi ya Chama Cha Mapinduzi.  Akizungumza Naibu Katibu Mkuu …

Read More »

MJADALA WA MUSWADA WA SHERIA YA HUDUMA ZA HABARI WAENDELEO MJINI DODOMA CHINI YA KAMATI YA BUNGE YA HUDUMA NA MAENDELEO YA JAMII.

musu3

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii ikiendelea na majadiliano ya Muswada wa Sheria ya Huduma za Habari leo Oktoba 21,2016 Mjini Dodoma. Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii Mhe. Peter Serukamba (kulia) akielezea  jambo kwa wajumbe wa Kamati …

Read More »

TANZANIA, UGANDA KUPOKEA TAARIFA MRADI WA BOMBA LA MAFUTA TANGA

index

Na Asteria Muhozya, DSM Wizara ya Nishati na Madini, imeandaa Mkutano ambao pamoja na masuala mengine utapokea Taarifa kuhusu maendeleo ya utekelezaji wa Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi kutoka Hoima nchini Uganda hadi Bandari ya Tanga, ambao utahudhuriwa na Mawaziri wanaosimamia sekta hiyo kutoka Uganda na Tanzania. Mkutano huo …

Read More »

PLUIJM AITANGAZIA KIAMA KAGERA SUGAR,CHIRWA KUONGOZA MASHAMBULIZI KESHO.

heroa

Na.Alex Mathias. Baada ya kupata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Toto African ya jijini Mwanza,Kocha Mkuu wa klabu ya Yanga Hans Van Der Pluijm ameitangazia vita Kagera Sugar zitakapokutana kesho kwenye uwanja wa Kaitaba mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara. Akizungumza baada ya kutua mkoani Kagera Pluijm,amesema …

Read More »