Friday , March 22 2019

Recent Posts

Blog Layout

Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa mgeni rasmi kesho Uwanja wa Taifa katika mechi ya kuchangisha fedha kwa ajili ya waathirika wa Tetemeko Kagera.

nge3

Kaimu Mkurugenzi Idara ya Maendeleo ya Michezo kutoka Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Bw Alex Nkenyenge akifafanua kuhusu maandalizi ya Uwanja wa Taifa kwa ajili ya mechi ya kesho kati ya wabunge mashabiki wa Simba na Yanga Wasanii wa Bongo Flava na Bongo Movies itakayofanyika kesho. Mwenyekiti wa …

Read More »

MAJALIWA ATEMBELEA KIWANDA CJA SAMAKI NA WODI YA WAZAZI MAFIA

fia1

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama samaki aina ya pweza wakati alipotembelea kiwanda cha samaki cha TANIPESCA eneo la Kilindoni wilayani Mfia  Septemba 24, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama samaki aina ya pweza wakati alipotembelea kiwanda cha samaki cha TANIPESCA eneo la Kilindoni wilayani …

Read More »

Tigo yatoa simu 800 zenye thamani ya 120m kusaidia zoezi la kusajili watoto chini ya umri wa miaka mitano katika mikoa ya Njomba na Iringa.

2

Mkurugenzi wa Tigo kanda ya Nyanda za juu Kusini Jackson Kiswaga akipeana mkono na Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Dr Rehema Nchimbi mara baada ya kutoa hotuba wakati wa uzinduzi wa uzinduzi wa awamu ya tatu ya zoezi la usajili na utoaji wa vyeti vya kuzaliwa, uzinduzi huo ulifanyika jana …

Read More »

NEC yatoe Elimu ya Mpiga Kura kwa Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa ALAT, Musoma

alt2

Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Bw. Kailima Ramadhani (wa pili kushoto) akishiriki sala ya kuanza kikao kikao cha pili cha Mkutano Mkuu wa 32 wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT) kinachofanyika mjini Musoma mkoani Mara.Kushoto kwake ni Mwakilishi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki …

Read More »

TANESCO YAWAOMBA RADHI WATEJA WA DAR ES SALAAM WANAOPATA UMEME KUTOKA VITUO VYA KUNDUCHI NA MAKUMBUSHO-KINONDONI KASIKAZINI

5r5a1150

SHIRIKA la Umeme Tanzania ( TANESCO) linapenda kuwataarifu wateja wake wa Mkoa wa Dar es Salaam kuwa leo Jumamosi tarehe 24/09/2016 kumetokea hitilafu katika Kituo kikubwa cha kupooza na kusambaza Umeme cha Ubungo 220kV/ 132kV  na kusababisha kukosekana Umeme kwenye maeneo ya jiji la Dar es Salaam yanayotegemea Vituo vya …

Read More »

WATUMISHI WA UMMA JIANDAENI KWENDA KUFANYA KAZI KOKOTE NCHINI-MAJALIWA

mbo2

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka watumishi wa umma nchini kuwa tayari kwenda kufanya kazi kokote watakalopangiwa na Serikali kulingana na mahitaji ya eneo husika. Amesema moja ya wajibu wa watumishi wa umma ni kuwatumikia na kuwahudumia Watanzania sehemu yoyote walipo ili kuwaletea maendeleo na atakayeshindwa ni vema akatafuta shughuli nyingine …

Read More »

MKUU WA WILAYA YA MPWAPWA AMSIMAMISHA KAZI MKUU WA CHUO CHA MAENDELEO YA WANANCHI (FDC)-CHISALU

1

Na Mathias Canal, Dodoma Mkuu wa Chuo cha Maendeleo ya wananchi (FDC)-CHISALU amekalia kuti kavu mara baada ya kubainika kuwa ameruhusu udahili wa wanafunzi wanaosoma fani ya utaalamu wa Kilimo na Mifugo ilihali chuo hicho ni maalumu kwa ajili ya mafunzo ya utaalamu wa Maendeleo ya jamii (Community Development). Mkuu …

Read More »

MAJALIWA AIPA SIKU 10 TAASISI YA HIFADHI YA BAHARI KULIPA DENI LA SH. MILIONI 100

maf3

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa muda wa siku 10 kwa Taasisi ya Hifadhi ya Bahari na Maeneo Tengefu kulipa deni la sh. milioni 100 inayodaiwa na Halmashauri ya wilaya ya Mafia. Deni hilo linatokana na malimbikizo ya miaka mitatu ya maduhuri yatokanayo na makusanyo yanayofanywa na taasisi hiyo katika maeneo …

Read More »

LOWASSA AISIFU SERIKALI URATIBU MAAFA KAGERA

low

Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Edward Lowassa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Meja Generali Salum Kijuu alipomtembela leo ofisini kwake kumpa pole kutokana na athari ya tetemeko la ardhi katika mkoa wake Na Mwandishi Wetu-KAGERA ……………………………………………. Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Edward Lowassa ameipongeza Serikali kwa namna ilivyojipanga kukabiliana na …

Read More »

WAZIRI MKUU ATOA SIKU MOJA KWA MANISPAA YA MOROGORO KUTANGAZA MAENEO KWA AJILI YA WAFANYABIASHARA WADOGO

index

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa siku moja kwa uongozi wa Manispaa ya Morogoro kutenga maeneo maalumu kwa ajili ya wafanyabiashara wadogo na kuyatangaza kesho. “Mbali na kutenga maeneo pia nawaagiza muwasaidie wafanyabiashara hawa kuunda vikundi kulingana na aina ya biashara wanazozifanya ili kuwawezesha kupata mikopo kwa urahisi kutoka katika taasisi …

Read More »