Sunday , April 22 2018

Recent Posts

DK. FADHILI EMILLY MKURUGENZI WA FADHAGET AUNGA MKONO KWA VITENDO KAULI MBIU YA TANZANIA YA VIWANDA

2

Mkurugenzi wa Kampuni ya Fadhaget inayomiliki Kiwanda cha VirutubishoTiba Fadhaget Nutrition Science (kushoto),Fadhili Emily  aki pokea cheti kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Kuhudumia Viwanda vidogo vidogo(SIDO).Cheti hicho ni kwa ajili ya kutambuliwa kwa kiwanda chake ambacho amekabidhiwa leo jijini Dar es Salaam. Cheti chenyewe …………………………………………………………………… *Aishukuru Serikali,SIDO kwa …

Read More »

Blog Layout

RC MAKONDA AZINDUA ZOEZI LA UTOAJI CHANJO YA KUZUIA SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI DAR

2

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda leo amezindua zoezi la utoaji wa chanjo ya kuzuia saratani ya mlango wa kizazi (HPV) ikihusisha Wasichana wenye umri wa Miaka 14. RC Makonda amesema zoezi hilo litaanza rasmi Jumatatu ya February 23 likihususisha zaidi ya Wasichana 24,097 ambao watakaopata …

Read More »

MAJALIWA AWEKA JIWE LA MSINGI LA MRADI WA UJENZI WA MAGHALA NA VIHENGE VYA KISASA MJINI DODOMA.

1

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwaongoza viongozi kuweka jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa maghala  na vihenge vya kisasa kwenye eneo la Kizota mjini Dodoma Aprili 21, 2018. Kutoka kushoto ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama, Spika …

Read More »

WAZIRI WA SHERIA WA ISRAEL ATAFANYA ZIARA YA SIKU TATU NCHINI KUANZA APRIL 22 HADI 24

NEMBO TAIFA

Waziri wa Sheria wa Israel, Mhe. Ayelet Shaked atafanya ziara ya kikazi ya siku tatu nchini kuanzia tarehe 22 hadi 24 Aprili, 2018. Akiwa nchini, Mhe. Waziri Shaked ambaye anaongoza ujumbe wa wafanyabiashara na wawakilishi wa makampuni kutoka Israel atashiriki Kongamano la Tano la Biashara kati ya Tanzania na Israel …

Read More »

BUNGE LAPITISHA BILLIONI 898 BAJETI YA WIZARA YA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO

Pix 1

Na Mwandishi Wetu Dodoma Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeridhia na kupitisha jumla ya Shillingi Billioni 898 kwa ajili ya utekelezaji wa majukumu ya Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kwa mwaka wa fedha 2018/2019. Wakijibu hoja mbalimbali za wabunge kuhusu Bajeti ya Wizara …

Read More »

DROO YA MAKUNDI KOMBE LA SHIRIKISHO KUFANYIKA LEO YANGA LAZIMA AWE KWENYE KUNDI NA MOJA YA TIMU HIZI

Raja-de-Casablanca

  Raja Casablanca Droo ya upangaji wa timu zitakazokutana hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika inatarajia kufanyika Jumamosi ya leo Aprili 21 2018 Majira ya saa 8:30 mchana Mjini Cairo,Misri na itakuwa Live ZBC 2 Timu 16 zimefuzu kuingia makundi ya Shirikisho na kutakuwa na Pot mbili tu …

Read More »

WAZIRI MWAKYEMBE APOKEA KWA MASIKITIKO TAARIFA YA KIFO CHA MWANAMUZIKI WA DANSI BW.KALAMBAY BISONGO

MWAKYEMBE-660x400

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison G. Mwakyembe (Mb) amepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha Mwanamuziki mahiri wa Dansi Bw. Kalambay Bisongo kilichotokea tarehe 18 Aprili, 2018 katika hospitali ya Mloganzila jijini Dar es Salaam. “Nimesikitishwa na taarifa hizi za kifo cha Mwanamuzi mahiri wa …

Read More »

VIDEO QUEEN AGNES GERLAD “MASOGANGE” AFARIKI DUNIA

AGNESS-549x360

HATUNAYE TENA! Hiyo ndio kauli unayoweza kuielezea baada ya  kuwepo kwa taarifa za kufariki dunia kwa video queen hot zaidi  nchini na muigizaji wa filamu Agnes Gerald maarufu kama Agnes Masogange. Ni ngumu kuamini kama Masogange amefariki dunia lakini huo  ndio ukweli.Najua itakuchua dakika kadhaa kutafakari kifo cha  binti huyo …

Read More »

WATOTO WA KIKE 18,823 PWANI KUPATIWA CHANJO YA KUKINGA SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI-HINCHA

IMG-20180420-WA0096

Mratibu wa chanjo Mkoani Pwani, Abbas Hincha akizungumza na waandishi wa Habari Mkoani Pwani Mgeni rasmi Gerald Manase kutoka Tamisemi,akizungumza katika semina ya wanahabari juu ya ufahamu wa chanjo ya kuzuia saratani ya mlango wa kizazi,Mkoani Pwani Baadhi ya wanahabari mkoani Pwani,wakisikiliza kwa makini mada zilizokuwa zikitolewa ,wakati wa semina …

Read More »