Thursday , July 19 2018

Recent Posts

KUTOKA DStv TUNAKUAMBIA HIVI,MOTO HAUZIMWI

DStv ads Instagram(1080px X 1080px)

Utakuwa ni wakati wa burudani ya aina yake ,kuanzia Julai 13 hadi 31, kila mteja wa DStv ambaye akaunti yake iko hewani atazawadiwa chaneli zote za michezo na za Watoto buree kabisa! Amini usiamini…., utashuhudia mieleka na mbio za magari za langalanga(Formula 1) kupitia Supersport 1,2,3,4,5,6,7 na 8. Ofa hii …

Read More »

Blog Layout

SERIKALI YA NIGERIA YATUMA UJUMBE NCHINI KUJIFUNZA NAMNA WATANZANIA WANAVYOWEZA KUISHI KWA AMANI NA MBINU ZA MAFANIKIO YA RAIS DKT MAGUFULI

DSC09400

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Utumishi wa umma na Utawala Bora) Mhe. George Mkuchika akizungumza na ujumbe wa maafisa wa serikali kutoka Nigeria waliofika nchini kujifunza mbinu za mafanikio ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli na namna uchumi wa Tanzania unavyokuwa kwa haraka, kujua namna Watanzania wanavyoweza kuishi kwa …

Read More »

MITAMBO NA SEHEMU ZA KIWANDA CHA YUKO’S WILAYANI KISARAWE YAUNGUA MOTO

IMG_20180707_131034

Picha za kiwanda cha kuchapisha nyaraka mbalimbali cha kampuni ya Yuko’s Enterprises kilichopo Tondoloni ,wilaya ya Kisarawe,Mkoani Pwani ,kikionekana mandhali yake baada ya mitambo na sehemu za kiwanda hicho kuungua moto Kaimu kamanda wa polisi mkoani Pwani, Blasius Chatanda akielezea tukio la kiwanda cha kuchapisha nyaraka mbalimbali cha kampuni ya …

Read More »

RAIS NA AMIRI JESHI MKUU DKT MAGUFULI ATUNUKU KAMISHENI KWA MAAFISA WANAFUNZI WA JWTZ IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO

k (5)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt. John Pombe Magufuli akitoa zawadi kwa wanafunzi waliofanya vizuri kwenye mafunzo wakati wa hafla ya kutunuku Kamisheni Maafisa Wanafunzi 123 wa Jeshi la Wananchi la Tanzania (JWTZ) katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es salaam  leo Jumamosi Julai …

Read More »

KILELE CHA MAADHIMISHO YA SIKU YA USHIRIKA DUNIANI CHAFANYIKA ZANZIBAR

DSC_1482

Waziri wa Biashara Viwanda na Masoko Balozi Amina Salum Ali  kushoto akipatiwa maelezo na kijana Rashid Kaimu Rashid kutoka Ushirika wa Chakiumu kuhusiana na utengenezaji wa Chauro za Unga wa muhogo katika kilele cha Maadhimisho ya siku ya Ushirika Duniani yaliofanyika Chuo cha Amali Mkokotoni Kaskazini A  Unguja. Waziri wa …

Read More »

NAIBU WAZIRI BITEKO ATEMBELEA MABANDA YA WIZARA ZA MADINI NA NISHATI KWENYE MAONESHO YA SABASABA

Picha Na 1

Naibu Waziri wa Madini, Dotto Biteko akiangalia vipeperushi kwenye Banda la Wizara ya Madini mara alipotembelea mabanda ya  Wizara za Madini na Nishati kwenye Maonesho ya Kimataifa ya Sabasaba yanayoendelea katika Viwanja vya Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam. Kamishna wa Madini Nchini, Mhandisi David Mulabwa akisaini kitabu cha wageni …

Read More »

WARATIBU ELIMU WA KATA ZA WILAYA YA KISARAWE WAISHUKURU SERIKALI

IMG-20180707-WA0038

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI) Seleman Jafo akizungumza na waratibu wa elimu kata za Wilaya ya  Kisarawe.  Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI) Seleman Jafo akikabidhi pikipiki kwa waratibu wa elimu kata za Wilaya ya  Kisarawe.  Baadhi …

Read More »

Serikali kushirikiana Na Wadau Mbalimbali kuhifadhi Historia Za Kiutamduni Nchini

Pix 2

Naibu Waziri wa Habari , Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza (katikati) akicheza ngoma ya Wahdzabe alipotembelea kituo cha Pembenne za Utamaduni(4CCP) kilichopo Hydom,Mbulu Vijijini  ambacho huenzi tamaduni za kabila nne za Wadatoga, Wahdzabe, Wairaq na Wabantu. Naibu Waziri wa Habari , Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza …

Read More »

OSHA wapongezwa kwa kuondoa baadhi ya tozo zilizokuwa kero sehemu ya kazi

os1

Naye Kaimu Mtendaji mkuu wa OSHA Khadija Mwenda aakizungumza jambo na waandishi wa habari katika banda la taasisi hiyo lililopo kwenye viwanja vya maonesho ya Sabasaba barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam jana. Naye Kaimu Mtendaji mkuu wa OSHA Khadija Mwenda akifafanua jambo wakati akizungumza na waandishi wa habari  …

Read More »

Washiriki wa Urembo Zingatieni Maadili na Utamaduni wa Kitanzania- Mhe. Shonza

Pix 2

Naibu Waziri wa Habari , Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza akizungumza katika mashindano ya kumtafuta mrembo  wa Jiji la Arusha, shughuli iliyoandaliwa na The Fuction House chini ya Mkurugenzi Bw. Tilly Chizenga jana Jijini hapo. Naibu Waziri wa Habari , Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza (Katikati) …

Read More »

NGOMA AFRICA BAND KUTUMBUIZA JUMAPILI 8.Julai 2018 MAMLING,AUSTRIA

Ngoma Africa Band aka FFU Hapa Kazi Tu

Baada ya kuwadatisha washabiki katika maonyesho mawili makubwa kule Regensburg Festival  na Birkenreid festival Ujerumani sasa kamanda Ras Makunja anakipeleka kikosi kazi cha Ngoma Africa band aka FFU-Ughaibuni katika onyesho kubwa la Mamling Festival   nchini Austria ,onyesho hilo litafanyika siku ya  jumapilii 8Julai 2018 ,akiongea na vyombo vya habari kiongozi …

Read More »