Tuesday , March 26 2019

Recent Posts

Blog Layout

RAIS MHE. DKT MAGUFULI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WACHEZAJI WA TIMU YA TAIFA YA MPIRA WA MIGUU TAIFA STARS IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

AA

   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wachezaji wa timu ya Taifa ya Mpira wa Miguu Taifa Stars ambao walifika Ikulu mara baada ya kufanikiwa kufuzu kushiriki Fainali za michuano ya Mataifa ya Africa AFCON baada ya kuifunga Timu ya Taifa ya Uganda …

Read More »

WAZIRI KAMWELWE ASISITIZA UZALENDO KATIKA USIMAMIZI WA MIRADI

1

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Eng. Isack Kamwelwe akisisitiza kwa Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi la Sekta ya Uchukuzi (Hawapo pichani) kuhusu umuhimu wa kufanya kazi kwa uzalendo, wakati Waziri huyo alipokuwa akifungua baraza hilo, jijini Dodoma, mwishoni mwa wiki. Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Eng. Isack Kamwelwe …

Read More »

KILIMO BIASHARA KUPITIA GREEN HOUSE KUANZA KUTEKELEZWA KATIKA MIKOA MITATU YA NYANDA ZA JUU KUSINI AMBAYO NI TEGEMEO KWA CHAKULA

A

NJOMBE  Wakulima wa mazao ya chakula na biashara nchini wametakiwa kupunguza matumizi ya mbolea za chumvi chumvi pamoja na dawa za kuua wadudu na magugu na badala yake wakijikite katika matumizi ya teknolojia ya Green House ili waweze kuzalisha mazao ambayo yatakakuwa na ushindani mkubwa katika soko la africa mashariki …

Read More »

CCM MBAGALA WAKAGUA MIRADI YA MAENDELEO, WAKERWA NA KUKWAMA KWA MIRADI YA MAJI YA SHS. 170ML

IMG_20190324_110655_9

Msimamizi msaidizi wa mradi wa maji wenye thamani ya Shs. 152 milioni, Baltazar Mtenga (kushoto) kutoka kampuni ya Ifango General Enterprises, akielezea changamoto za kukwama kwa mradi huo mbele ya Mwenyekiti wa CCM Tawi la Mbagala Charambe Machinjioni, Shaibu Omari Naputa (kulia) na Mwenyekiti wa Mtaa wa Machinjioni A, Mkonge …

Read More »

KAMATI YA MIUNDOMBINU YATAKA UJENZI WA NYUMBA ZA WATUMISHI MZANI WA DAKAWA

????????????????????????????????????

Naibu Waziri wa Ujenzi, Elias Kwandikwa, akifafanua jambo kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu kuhusu maendeleo  ya ujenzi wa kituo cha Mizani kinachojengwa Dakawa Mkoani Morogoro, wakati kamati hiyo ilipokagua mzani huo. Wa nne kushoto ni Mwenyekiti wa Kamati hiyo Suleiman Kakoso. Mafundi wa Kampuni ya Group Six …

Read More »

BONDIA IDDI MKWELA HATUA NCHINI NA KUPIGIA MIKWALA ROJAS MASAMU BAADA YA KUSHINDA KWA K,O KENYA

EPSON MFP image

   Na Mwandishi Wetu Bondia Idd Mkwera baada ya kumsambalatisha bila ya huruma Nicholas mwangi kutoka kenya kwa K,O ya raundi ya 2 wakati alipokuwa akicheza mpambano wa utangulizi wiki iliyopita katika mpambano wa Hassani Mwakinyo na Sergio Eduardo Gonzalez kutoka Argentina  na kufanikiwa kumdunda raundi ya 5 sasa amerudi nchini kwa ajili ya mpambano …

Read More »

BONDIA IBRAHIMU CLASS AFUDHU VIPIMO SASA RASMI KUPIGANA U.S.A MACHI 30

class super d

Bondia Mtanzania Ibrahimu Class ‘King Class Mawe’ akifanyiwa vipimo nchini Marekani kwa ajili ya mpambano wake wa march 30 katika ukumbi wa  Fantasy Springs Casino, Iliyo nchini Marekani. Bondia Mtanzania Ibrahimu Class ‘King Class Mawe’ akifanyiwa vipimo nchini Marekani kwa ajili ya mpambano wake wa march 30 katika ukumbi wa  Fantasy Springs …

Read More »

Mhe. Shonza Aviagiza Vyama Vyote vya Kiswahili kujisajili BAKITA

PIX 3

Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza akizungumza jana Mkoani Morogoro wakati aliposhiriki hafla ya kufunga Kongamano la 11 la Chama cha Wanafunzi wa Kiswahili Vyuo Vikuu Tanzania (CHAWAKITA) lililofanyika katika Chuo Kikuu cha Waisilam Mkoani hapo (MUM). Makamu Mkuu wa Chuo cha Waislam  Morogoro akizungumza …

Read More »

WAKALA WA CHAKULA NA DAWA WATEKETEZA TANI 129 ZA SAMAKI AINA YA PEDUU NA MAZIWA

????????????????????????????????????

Gari zilizobeba makontena yenye tani 126 za Samaki na Maziwa yakiwa yameegeshwa katika jaa la Kibele Wilaya ya kati Mkoa wa Kusini Unguja. Baadhi ya maboksi ya Samaki walioharibika yakiwa kwenye Kontena yakisubiri kushushwa kwa ajili ya kuharibiwa katika eneo la Kibele Wilaya ya Kati Unguja. Gari aina ya Gurdoza …

Read More »