Wednesday , December 19 2018

Recent Posts

Blog Layout

Takukuru Yawapandisha Watu Watatu kizimbani

index

……………………. Na Ahmed Mahmoud Arusha Taasisi ya Kuzuia na Kupamba na Rushwa{TAKUKURU} Mkoani Arusha ja imewapandisha kizimbani watu wawili akiwemo Mwandishi wa habari,Sulemani Wambura{47} Mkazi wa Temeke Jijini Dar es Salaam kwa kosa kujifanya wafanyakazi wa Benki ya Tanzania{BOT} na kuomba rushwa ya Shilingi milioni 30 kwa mmoja wa wamiliki …

Read More »

SERIKALI YAJADILI UWEKEZAJI BORA ZAIDI WA MISRI KATIKA SEKTA YA MIFUGO

3-min

1.       Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Luhaga Mpina akisikiliza hoja ya mjumbe (hayupo pichani) wa kikao kuhusu namna bora zaidi ya uwekezaji katika sekta ya mifugo kutokana na nia ya serikali ya Misri kutaka kuwekeza katika sekta hiyo. 2.       Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Luhaga Mpina akisoma baadhi …

Read More »

BABA MZAZI AWAUA WATOTO WAKE WATATU AKIWEMO WA MIEZI 10,KISA UGOMVI BAINA YAKE NA MKEWE

IMG_20181109_114654

Kamanda wa polisi wa mkoani Pwani,Wankyo Nyigesa akizungumza na waandishi wa habari(hawapo pichani)kuhusiana na matukio mbalimbali yaliyotokea mkoani hapo .(picha na Mwamvua Mwinyi) ………………………. NA MWAMVUA MWINYI,PWANI JESHI la polisi mkoani Pwani ,limethibitisha kutokea kwa vifo vya watoto watatu akiwemo wa miezi kumi ,waliouawa kwa kunyweshwa sumu na baba yao …

Read More »

SPIKA WA BUNGE AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA BALOZI WA SWEDEN NCHINI OFISINI KWAKE JIJINI DAR ES SALAAM

PIC 2A-min

Balozi wa Sweden Nchini Mhe. Andres Sjoberg  akimueleza jambo Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai alipomtembelea Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai katika picha ya pamoja na Balozi wa Sweden Nchini Mhe. Andres Sjoberg mara baada ya kuzungumza naye Ofisini kwake Jijini Dar es Salaam. …

Read More »

Washiriki Master Tanzania kutambulishwa Forty Forty Tabata leo

Baadhi ya washiriki Master Tanzania 201819

WASHIRIKI wa Shindano la Master Tanzania 2018/19, wanatarajiwa kutambulishwa leo Forty Forty Club, iliyopo Tabata Bima, jijini Dar es Salaam.   Akizungumza na gazeti hili jana, Mratibu wa shindano hilo, Michael Maurus, alisema kuwa utambulisho huo ni sehemu ya maandalizi ya shoo ‘bab kubwa’ ya mchujo itakayofanyika wikiendi ya pili …

Read More »

SERIKALI INAFANYA MAPITIO YA LESENI ZA UCHIMBAJI-MAJALIWA

1

  *Zitakazobainika kutofanya kazi kwa muda mrefu itazichukua    WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema Serikali inafanya mapitio ya leseni zote za uchimbaji wa madini na zile ambazo zitabainika kuwa hazijafanya kazi kwa muda mrefu zitachukuliwa na kisha maeneo hayo hayo yatagawiwa kwa wachimbaji wadogo. Amesema Wizara ya madini imeimarishwa  na …

Read More »

MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA UJUMBE KUTOKA GIRL GUIDES ASSOCIATION

5

  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo amekutana na kufanya mazungumzo na Wajumbe kutoka Tanzania Girl Guides Association ambapo pamoja na mambo mengine alitambulishwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini Bi. Anna Maembe na Wajumbe wengine wa Bodi hiyo kwenye ofisi ya Makamu …

Read More »

RAIS WA ZANZIBAR AZUNGUMZA NA UJUMBE WA WASHIRIKA WA MAENDELEO SEKTA YA KILIMO TANZANIA

IMG_0705

   RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Meneja Mkaazi wa Growing Africa’s Agriculture (AGRA) wakati wa mazungumzo na Ujumbe wa Washirika wa Sekta ya Kilimo Tanzania, ukiongozwa na Mwakilishi wa FAO Tanzania na Mwenyekiti wa Washirika wa Maendeleo Sekta ya …

Read More »

WAZIRI WA BIASHARA NA VIWANDA BALOZI AMINA SALUM ALI AZUNGUMZA NA WAANDISHI ZANZIBAR

1

  Waziri wa Biashara na Viwanda Zanzibar Balozi Amina Salum Ali akizungumza na Waandhishi wa Habari wa Vyombo mbalimbali kuhusiana na Maadhimisho ya kutimia miaka 50 toka kuundwa kwa Shirika la ZSTC 1968 mkutano uliofanyika katika ukumbi wa ZSTC Migombani mjini Zanzibar.  Muandishi wa Habari wa Bahari FM Tabia Makame …

Read More »

RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI ASHIRIKI MKUTANO MKUU WA 20 WA WAKUU WA NCHI WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI JIJINI ARUSHA.NOVEMBA 30,2018

2

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Rais wa Kenya Mheshimiwa Uhuru Kenyatta kabla ya kuanza kwa mkutano mkuu wa 20 wa Wakuu wa Nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa Jijini Arusha(AICC) .Novemba 30,2018(PICHA NA IKULU) Rais …

Read More »