Thursday , November 23 2017

Blog Layout

USHIRIKA WA WACHINJA KUKU KISUTU WENYE MALENGO MAKUBWA YA UWEKEZAJI

KISUTU6

Kuku wakiendelea kuandaliwa ndani ya Soko la Kisutu. Picha zote na MaendeleoVijijini.   Na Daniel Mbega, MaendeleoVijijini SAUTI za kuku zinasikika hata ukiwa nje ya jengo dogo ndani ya Soko la Kisutu jijini Dar es Salaam, lakini ghafla zinakoma na zinasikika nyingine. Siyo kwamba kuku hao wanahitaji chakula ama wanacheza, …

Read More »

Taasisi ya APHTA yatekeleza Vyema Mpango wa Kuzuia Magonjwa Yasiyoambukiza Mashuleni

url

Inaelezwa kwamba hadi kufikia mwaka 2020 magonjwa yasiyoambukiza yanaweza kusababisha asilimia 73 ya vifo kote duniani ikiwa hatua madhubuti hazitachukuliwa katika kupambana na magonjwa hayo ikiwemo Kisukari. Ni kutokana na athari za magonjwa hayo, Chama cha Watoa Huduma za Afya Tanzania APHTA, kikazimia kuanzisha Mpango wa Kitaifa wa Afya Mashuleni, …

Read More »

NAIBU WAZIRI WA UCHUKUZI NA MAWASILIANO ATASHASTA NDITIYE ATEMBELEA TUME YA TAIFA YA TEHAMA NA TCRA

IMG_4034

Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye (kushoto), akipokelewa na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya TEHAMA, Mhandisi Samson Mwela (katikati) na Mkurugenzi wa Mawasiliano, Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Clarence Ichwekeleza, alipowasili ofisini hapo katika ziara yake ya kutembelea tume hiyo jijini Dar …

Read More »

NGONGAMANO LA WASOMI WANATAALUMA KUFANYIKA JUMAMOSI HOTELI YA LANDMARK UBUNGO JIJINI DAR ES SALAAM

LAND

 Mratibu wa Kongamamo la Wasomi Wanataaluma wa Kikristo liitwalo Tanzania for Jesus Prayer Movement ambalo mlezi wake ni Huduma ya I Go Africa for Jesus,  Ephrahim Mwambapa akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika Kanisa la Abundant Bressing Center (ABC), Tabata Matumbi jijini Dar es Salaam, kuhusu kongamano hilo litakalofanyika Hoteli …

Read More »

TAARIFA MBALIMBALI ZA KIMICHEZO KUTOKA SHIRIKISHO LA MPIRA WA MIGUU TFF

index

WAMBURA AWATIA SHIME WAKUFUNZI WA WAAMUZI Makamu Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Michael Wambura amesema, kuna uwezekano mkubwa Bara la Afrika, likatoa idadi kubwa ya waamuzi katika fainali za michuano mikubwa hususani Kombe la Dunia. Wambura alisema hayo Jumatatu Novemba 20, 2017 kwenye Ukumbi wa ILO, …

Read More »

Serikali yawataka wanazuoni kusaidia kufanikisha Dira ya Uchumi wa Viwanda

image2

Rafael Kilapilp,Tamisemi –Dar es Salaam Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa Majaliwa  amewataka wanazuoni kujadili, kutafakari na kutathmini upya ubora wa elimu itolewayo mashuleni na vyuoni na kutoa mapendekezo yatakoyoisaidia Serikali kuboresha Sera hiyo ili iendane na  Dira ya Taifa ya Uchumi wa Viwanda ifikapo 2025. …

Read More »

LIVERPOOL INA KIBARUA KIGUMU DHIDI YA SEVILLA MCHEZO WA LIGI YA MABINGWA ULAYA LEO

468C33DB00000578-5101213-image-a-24_1511202156530

Liverpool ina kibarua kigumu cha Ligi ya Mabingwa Ulaya pale watakaoivaa Sevilla ya Hispania, leo. Lakini Kocha Mkuu wa Liverpool, Jurgen Klopp, matumaini yake makubwa yako kwa mshambuliaji wake, Mohamed Salah. Salah raia wa Misri anaonekana kuwa tegemeo kubwa la kufunga na kutengeneza mabao. Katika mechi iliyopita alikuwa mwiba dhidi …

Read More »

TANZANIA YAPIGWA MSASA NA ISRAEL WA KUTANGAZA UTALII KIDIGITALI

1

Dr. Noam Koriat akitoa mafunzo kwa watumishi wa Wizara ya Utalii na Taasisi zake katika ukumbi wa mikutano wa Makumbusho ya Taifa, jijini Dar es salaam. Baadhi ya Watumishi wakimsikiliza Dkt. Wakati wa mafunzo. ………….. Ziara  ya kutembelea nchi ya Israel iliyoandaliwa na Bodi ya Utalii Tanzania na kuhususisha viongozi …

Read More »

Maafisa Uuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Wapigwa Msasa Jinsi Ya kumpima Mgonjwa Umeme wa Moyo (ECG)

Picha no.1

Afisa Muuguzi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Pal Bhadreshwara akionyesha namna  ya kumpima  mgonjwa umeme wa moyo (Electrocardiogram – ECG) wakati wa mafunzo ya siku tano ya kutoa huduma kwa wagonjwa walioko katika chumba cha uangalizi maalum (ICU) yanayotolewa na maafisa uuguzi kutoka Taasisi ya Open Heart International …

Read More »