Thursday , January 17 2019

Recent Posts

Blog Layout

GCLA KANDA YA KASKAZINI INAJIPANGA KUANZISHA MAABARA YA VINASABA VYA WANYAMA

index

Jengo la mamlaka ya maabara ya mkemia mkuu wa serikali kanda ya kaskazini-Arusha Meneja Kanda ya Kaskazini Christopher Anyango(mwenye suti) akiwatembeza maofisa  habari wa wizara na taasisi wa wizaravya afya wakati walipotembelea Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali wakati wa kampeni ya “Tumeboresha Sekta ya Afya”ambayo imeanza kwa …

Read More »

WANANCHI VISIWANI ZANZIBAR WACHANGAMKIA HUDUMA KWENYE BANDA LA MAONYESHO LA MAMLAKA YA VITAMBULISHO VYA TAIFA

IMG_0455-min

Bi. Salma Shaban Abdallah (Afisa Usajili NIDA), akiwapatia maelezo baadhi ya wageni wakazi wanaoishi Visiwani Zanzibar walipofika kujionea shughuli mbalimbali zinazofanywa na NIDA katika banda la Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa yanayofanyika katika viwanja vya Maisara mjini Unguja. Baadhi ya wananchi visiwani Zanzibar wakiwa katika banda la NIDA wakati wa …

Read More »

BODI YA MISHAHARA YATAKIWA KUTOFANYA KAZI KIMAZOEA KATIKA KUTEKELEZA JUKUMU LAKE LA MSINGI LA KUISHAURI SERIKALI NAMNA BORA YA KUOANISHA NA KUWIANISHA MISHAHARA NA MASILAHI YA WATUMISHI WA UMMA NCHINI

0001

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa (Mb) akizungumza na Watumishi na wajumbe wa Bodi ya Mishahara na Masilahi katika Utumishi wa Umma (hawapo pichani) wakati wa ziara yake ya kikazi alipowatembelea  ofisini kwao makao makuu ya bodi jijini Dar …

Read More »

UJENZI WA OFISI ZA WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO MJI WA SERIKALI IHUMWA DODOMA WAENDELEA KWA KASI

AC3A9695

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Bi. Susana B. Mkapa (kulia), akisalimiana na Mbunifu Majengo wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Msafiri Msaki, alipofika kukagua ujenzi wa Ofisi za Wizara hiyo Katika Mji wa Serikali eneo la Ihumwa Jijini Dodoma. Muonekano wa Jengo la Ofisi za Wizara …

Read More »

Kesi ya Kikatiba ya Kupinga Muswada wa Sheria ya marekebisho ya vyama vya siasa yatupiliwa mbali za Mahakama Kuu

1

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetupilia mbali Shauri  namba 31 la mwaka 2018 lilifunguliwa na Zitto na wenzake wawili ambao ni Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF) bara Joran Bashange na Mkurugenzi wa Mawasiliano wa chama hicho Salum Bimani wote wakiwa ni Kambi ya Katibu Mkuu, …

Read More »

JAJI NSEKELA AWATAKA VIONGOZI KUWA MAKINI NA TAARIFA WANAZOJAZA KATIKA MATAMKO YAO

index

Kamishna wa Maadili Jaji (Mst) Harold Reginald Nsekela akiongea na viongozi wa umma kuhusu umakini wakati wa ujazaji iwa fomu za Tamko la Rasilimali na Madeni katika ukumbi wa Siasa ni Kilimo mjini Iringa hivi karibuni ………………………. Viongozi wa umma wametakiwa kuwa makini na taarifa zao wanazojaza katika Fomu za …

Read More »

Nkasi waitikia wito wa serikali katika kukikuza kilimo cha kahawa Mkoani wa Rukwa

AAA

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo alipotembelea kitalu cha mkulima wa kahawa Elias Mwazembe katika Ziara yake ya siku nne katika Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi.  ……………………. Wakulima katika halmashauri ya wilaya ya Nkasi mkoani Rukwa wameitikia wito wa kuunga mkono juhudi za serikali katika kukuza zao la …

Read More »

DKT. NDUGULILE AITAKA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA DODOMA KUANZA KUTOA HUDUMA ZA KIBINGWA

5

Mhe. Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile akitembelea eneo la kuchoma taka katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma wakati alipofanya alipoitembelea kuona hali ya utoaji wa huduma za afya. Kulia ni Mganga Mfawidhi wa Hospitali hiyo Dkt. Ibenzi Ernest. Mhe. …

Read More »

NAIBU KATIBU MKUU-UTUMISHI AOMBA USHIRIKIANO KUTOKA KWA WATUMISHI WA OFISI YAKE ILI KUFIKIA MALENGO YA MHE. RAIS YA KUTOA HUDUMA BORA KWA WANANCHI

IMG_2146

Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dkt. Francis Michael akisalimiana na Mkurugenzi wa Kitengo cha Ununuzi na Ugavi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Bw. Peter Mabale mara baada ya kuripoti  ofisini kwake  jijini  Dodoma leo kwa …

Read More »

WAZIRI MHAGAMA AKERWA NA SEKTA BINAFSI YA ULINZI KUONGOZA KWA MIGOGORO MAHALA PA KAZI

PICHA NA. 1

Waziri wa  Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, (Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Watu wenye Ulemavu), Mhe. Jenista Mhagama  akiongea, wakati wa kikao cha Baraza la  wafanyakazi wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi (hawapo pichani) kilichowakutanisha Wasuluhishi na  waamuzi wa migogoro ya kikazi nchi nzima, mjini Morogoro,  tarehe 14 Januari,  …

Read More »