Wednesday , October 17 2018

Recent Posts

TANZANIA YATHIBITISHA KUANDAA MICHUANO YA FAINALI ZA VIJANA

index

Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF)imeithibitisha rasmi Tanzania kuwa wenyeji wa Fainali za Africa za Vijana zitakazofanyika mwakani. Kikao hicho cha Kamati ya Utendaji kimekutana kwa siku mbili huko Sharm El Sheikh,Misri.  Kupitia sauti ya Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa,Serikali ya Tanzania ilimthibitishia Rais wa CAF Ahmad …

Read More »

Blog Layout

NAIBU MKURUGENZI WA IMF AKUNWA NA UKUAJI WA UCHUMI WA TANZANIA, AAHIDI KUFUNGUA DIRISHA LA MIKOPO KWA TANZANIA

BEN5

Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), (wa tatu kulia) akielezea mpango wa Serikali wa kuboresha kilimo ili kukuza uchumi wa viwanda alipofanya Mkutano na Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF), Tao Zhang (wa tatu kushoto), katika ukumbi wa Wizara ya Fedha …

Read More »

NAIBU SPIKA WA BUNGE AKIPATA MAELEZO YA AFISA KUTOKA TAASISI YA UHANDISI NA USANIFU MITAMBO TANZANIA (TEMDO)

NAIBU

Naibu Spika wa Bunge, Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson (wa pili kushoto) akimsikiliza Afisa kutoka Taasisi ya Uhandisi na Usanifu Mitambo Tanzania (TEMDO) akizungumza jambo wakati wa Maonyesho ya baadhi ya Mitambo yao, katika tukio lililofanyika leo katika Viwanja vya Bunge Mjini Dodoma. wa pili kulia, ni Waziri wa Viwanda, Biashara …

Read More »

Tigo yazindua kampeni ya ‘Jaza Ujazwe’ kuwashukuru wateja kwa uaminifu wao

JAZWA

   Meneja Chapa wa Tigo, William Mpinga akifafanua jambo  kwa waandishi wa habari  kuhusu kifurushi cha Jaza Ujazwe mapema leo  katika uzinduzi rasmi wa kifurushi hicho “JazaUjazwe’ ambapo mteja  atapata bonus kwa njia ya SMS, Muda wa maongezi, MBs kwa ajili ya kuperuzi internet, Whatsapp na You Tube Kulia kwake ni …

Read More »

SERIKALI: AWAMU YA 3 YA REA KUVIFIKIA VIJIJI, VITONGOJI NA MAENEO YA PEMBEZONI MWA NCHI.

6701-Mhe.kalemani

  Na Nuru Juma,MAELEZO,DAR ES SALAAM     SERIKALI kupitia mradi wa awamu ya 3 ya usambazaji wa umeme vijijini (REA) imekusudia kusambaza umeme katika vijiji, vitongoji vyote, taasisi za umma na maeneo ya pembezoni mwa nchi ikiwemo visiwa.   Hayo yamesemwa leo bungeni Mjini Dodoma na Naibu Waziri wa …

Read More »

WACHEZAJI WATANO KUWANIA TUZO YA MCHEZAJI BORA VPL

VPL-logo

Wachezaji watano wameteuliwa (nominees) kuwania tuzo ya Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya Vodacom kwa msimu wa 2016/2017. Walioteuliwa kuingia kwenye kinyang’anyiro hicho ni Aishi Manula (Azam FC), Haruna Niyonzima (Yanga), Mohamed Hussein (Simba), Shiza Kichuya (Simba) na Simon Msuva (Yanga). Majina hayo yatapigiwa kura na makocha, makocha wasaidizi na manahodha …

Read More »

WAZIRI MWAKYEMBE AZINDUA TAMASHA LA NGOMA ZA ASILI ZA JAMHURI YA KOREA.

unnamed

 Balozi wa  Jamhuri  ya  Korea  hapa nchini Mhe. Song,Geum-young  akizungumza  na washiriki  wa Tamasha la Ngoma za asili  za nchi hiyo   (hawapo pichani)    jana Jijini Dar es Salaam. Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe akizungumza wakati wa ufunguzi wa  Tamasha la Ngoma za asili  za …

Read More »

MAKAMU WA RAIS AFUNGUA MAFUNZO YA SIKU TATU YA POLISI WANAWAKE KUTOKA NCHI ZA KUSINI MWA AFRIKA JIJINI DAR ES SALAAM

22

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suuluhu Hassan akihutubia wakati wa ufunguzi wa Mafunzo ya siku tatu ya Polisi Wanawake kutoka Shirikisho la Majeshi ya Polisi Kusini mwa Afrika (SARPCO) kwenye ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam. Muonekaniko wa …

Read More »

MRADI WA MATREKTA YA URSUS MKOMBOZI KWA WAKULIMA TANZANIA

PICHA 1

Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE MicrosoftInternetExplorer4 Matrekta ya Kampuni ya Ursus SA ya nchini Poland yakiwa tayari yameunganishwa na Wataalam kutoka Poland na Tanzania katika eneo la Kiwanda TAMCO lililoko Kibaha Mkoani Pwani yakiwa tayari kuanza kufanya kazi. /* Style Definitions */ table.MsoNormalTable {mso-style-name:”Table Normal”; mso-tstyle-rowband-size:0; mso-tstyle-colband-size:0; …

Read More »

WADAU WAIPONGEZA SERIKALI KWA UAMUZI WA KUIVUNJA MAMLAKA YA USTAWISHAJI WA MAKAO MAKUU, DODOMA (CDA)

Z

Na: Frank Shija – MAELEZO WADAU mbalimbali wameipongeza Serikali kwa uamuzi wa kuivunja Mamlaka ya Ustawishaji wa Makao Makuu Dodoma (CDA) iliyofikiwa na Rais Dkt. John Pombe Magufuli. Wakitoa maoni yao juu ya umauzi huo wa Serikali, wameeleza kuwa kuvunjwa kwa Mamlaka hiyo kumekuja wakati muafaka kwani kutapunguza kero na …

Read More »

FURSA ZA WATANZANIA KUFUNDISHA KISWAHILI AFRIKA ZAONGEZEKA.

unnamed

Jovina Bujulu- Maelezo Hivi karibuni, Tanzania ilitembelewa na ugeni wafanyabiashara zaidi ya 80 kutoka Afrika Kusini ambao uliongozwa na Rais wa nchi  hiyo Jacob Zuma kwa  lengo la kuimarisha ushirikiano kati ya nchi hizi mbili. Ujio huo ulikuwa na nia ya kusaini makubaliano katika nyanja za biashara na uwekezaji, Bioanuwai …

Read More »

MATUKIO KATIKA PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 27, MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO MAY 17, 2017.

8894-Naibu Spika akizungumza

Naibu Spika  wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dk.Tulia Ackson  akiongoza    kikao cha Ishirini na Saba cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 16, 2017. Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa akizungumza jambo na Mbunge wa Mtama Mhe.Nape Nnauye  katika kikao cha Ishirini na Saba …

Read More »