Friday , March 22 2019

Recent Posts

Blog Layout

MZEE AKILIMALI ATANGAZA KUWANIA NAFASI YA MWENYEKITI YANGA

DSC_1762

Katibu Mkuu wa Baraza la Wazee wa Yanga, Ibrahimu Akilimali ametangaza kuwania nafasi ya uenyekiti wa klabu ya hiyo iliyoachwa wazi hivi karibuni na aliyekuwa mwenyekiti wa klabu hiyo, Yusuf Manji. Hivi karibuni Manji alitangaza kujiuzulu kwenye nafasi yake hiyo ili aweze kupumzika kutokana na matatizo mbalimbali aliyokumbana nayo siku …

Read More »

DIRECT PAY ONLINE GROUP [DPO] BECOMES KILIFAIR 2017 PLATINUM SPONSOR

2

Waziri wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe (kulia) akikaribishwa na Mkuu wa Masoko wa kampuni ya Direct Pay Online, Kate Gathii (kushoto) alipotembelea banda la kampuni hiyo ambao ni platnimu sponsor wa maonesho ya Utalii na Viwanda ya Kili Fair yaliyofanyika kwenye uwanja wa Chuo cha Ushirika Moshi kuanzia …

Read More »

PEMBA:MWAKILISHI WA JIMBO LA MICHEWENI AMEWATAKA WAJUMBE WA KAMATI ZA SIASA ZA MATAWI KUSHIRIKIANA NA VYOMBO VYA ULINZI

IMG_6411

Na  Masanja Mabula –Pemba …. MWAKILISHIwa Jimbo la Micheweni Shamata Shaame Khamis amewataka wajumbe wa kamati za siasa za Matawi na Wadi katika jimbo hilo kushirikiana na vyombo vya ulinzi kudhibiti matumizi haramu ya bandari bubu zilizomo katika Jimbo hilo . Amesema katika Jimbo hilo kuna utitiri wa bandari bubu …

Read More »

MD KAYOMBO: MIL 85,000,000 ZAPATIKANA ZITAJENGA MADARASA MATANO SHULE YA MSINGI HONDOGO

1

Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo Ndg John Lipesi Kayombo   Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo Ndg John Lipesi Kayombo Leo June 14, 2017 Ameeleza dhamira yake kuhusu ujenzi wa vyumba vitano vya madarasa katika shule ya Msingi Hondogo iliyopo katika Kata ya Kibamba. MD Kayombo ametoa ufafanuzi huo ofisini kwake …

Read More »

SPIKA NDUGAI APATA UGENI KUTOKA TAASISI YA UTSS (UNDER THE SAME SUN) LEO OFISINI KWAKE MJINI DODOMA.

unnamed

Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kulia) akizungumza na Mkurugenzi Mkuu na Mwanzilishi wa Taasisi ya UTSS (Under the Same Sun) Ndg. Peter Ash (kushoto) alipomtembelea leo Ofisini kwake Mjini Dodoma. Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kulia) akimsikiliza Mkurugenzi Mkuu na Mwanzilishi wa Taasisi ya UTSS (Under the Same …

Read More »

KLABU YA GYMKHANA DAR ES SALAAM KUADHIMISHA MIAKA 100 TANGU KUANZISHWA KWAKE.

1

  Mwenyekiti wa klabu ya Dar es salaam Gymkhana, Walter Chipeta (kulia) akizungumza na vyombo vya habari leo jijini Dar es salaam. Klabu hiyo iko mbioni kuadhimisha miaka 100 tangu kuanzishwa kwake mwaka 1916 ambapo imejipanga kuandaa michuano ya michezo mbalimbali kama Gofu, Kriketi, Tenisi, Skwashi, Soka, mchezo wa kuogelea …

Read More »

Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete yaendelea Kuimarika

images

Na. Georgina Misama – Maelezo Serikali imetumia kiasi cha shilingi bilioni 26 katika kujenga na kuweka miundombinu  ya Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) Akiongea katika kipindi cha TUNATEKELEZA, Mkurugenzi Mtendaji  wa Taasisi hiyo Prof. Mohamed Janabi alisema kwamba takribani bilioni 13 zimetumika katika kuweka miundombinu ikiwemo mitambo ya …

Read More »

Hatua kali Kuchukuliwa kwa Madereva Wazembe: Kamanda Muslimu

index

   Na Eliphace Marwa – Maelezo   Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani Makao Makuu Jijini Dar es Salaam limetahadharisha, madereva kuwa makini wakati wakiendesha vyombo vya moto ili kuepuka ajali zinazosababishwa na ukiukwaji wa sheria za usalama barabarani.   Hayo yamesemwa na Kaimu Kamanda wa Kikosi cha Usalama …

Read More »

MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA 2017

unnamed

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Mhe.Angellah Kairuki akizungumza na Waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma yatakayofanyika kuanzia tarehe 14-23 Juni,2017 yenye kauli mbiu “Kuimarisha Ushirikishwaji wa Jamii katika Utoaji Huduma,Vijana washirikishwe kuleta mabadiliko Barani Afrika”.Kulia kwake ni …

Read More »

WIZARA YA ARDHI WAFANYA MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI JUU YA TATHMINI YA ULIPAJI WA KODI YA PANGO LA ARDHI NA MALIPO YAKE KWA MFUMO MPYA WA KIELEKTRONIKI

1

Kamishna Msaidizi wa Ardhi Kanda ya Kati Bw,Hezekiely Kitilya akiwa katika mkutano na waandishi wa habari akizungumzia tathmini ya ulipaji kodi ya pango la ardhi na Malipo yake yanavyoweza ufanyika kwa mfumo mpya wa kielektroniki leo mjini Dodoma. Afisa Ardhi Mwandamizi kutoka Wizara ya Ardhi,Nyumba na Maendeleo Bi.Jane Kapongo akifafanua …

Read More »